CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE PICHA YA MWISHO WA WIKI HII:- MAISHA YETU NA USAFIRI WETU....
Napenda usafiri wa baiskeli, ni usafiri mojawapo mzuri, hauna foleni ni rahisi kufika uendako...Ila hapo duh! dadangu kamaliza 4 kwa 1:-) ....ila tutafika tu!
Nani kama mama...
ReplyDeleteHuyu dada tafu kweli kweli. Wakenya husema ni mnoma kweli kweli. Nimependa hii kitu japo inaashiria umaskini wa kunuka.
ReplyDeleteKadala wa mimi! hakuna kama mama kwa kweli!
ReplyDeleteKaka Mhango! ni kweli sidhani kama huyu mama anapenda iwe hivyo hizo zote ni shida tu. .....