Monday, March 21, 2016

KUTOKANA NA BEI YA EMBE KUWA KUBWA NIMEONA BARA NIANZE KULIMA MWENYEWE...FUATANA NAMI KATIKA SAFARI HII NA KUKUZA MTI HUU WA EMBE....

 Mwezi mmoja uliopita bei ya embe ilikuwa nafuu nikanunua na baada ya kula nikawekeza kokwa/koko na tarehe 3/2/2016 nikaatika...Na sasa miezi miwili na siku kumi na nani zimepita na  mche wa embe yangu upo hivi  UJANJA  eeh:-). Kwa pamoja tuufuatilie MWEMBE HUU NA KUONA UTAISHIA WAPI....

3 comments:

  1. Inshaallah utakua na kuzaa maembe mengi sana. By Salumu,

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu...Nami pia nasema Inshaallah ...ngoja tuufuatilia tuone kama tutapata matunda....

    ReplyDelete
  3. mimi nitakuja kula matunda kwakweli

    ReplyDelete