Saturday, March 19, 2016

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO!

"utajiri wa leo ni uzima , na wala sio vipande vya dhahabu au shaba" Na Mahatma Ghandhi.
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA SANA.

2 comments:

  1. Sephania PhilingsonMarch 20, 2016 at 4:07 PM

    Ukweli ndo huo lakin tukeshe tukiomba

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Sephania...Kwanza nasema Karibu sana katika hiki kibaraza cha Maisha na Mafanikio... pia ahsante kwa mchango wako.

    ReplyDelete