Kapulya/Mama Maisha na Mafanikio akipita katika moja ya shamba kwa ukaguzi 2014-2015..nyumbani Songea-Ruhuwiko. Hizo ni kazi za mikono yetu mwenyewe!
Hapa nahisi anasema ...EEEhhh wewe acha tu hizi ndizi inabidi kuzitenganisha ili tupate mazao mazuri. NAWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA KILA LA KHERI NA KWARESMA IWE TULIVU NA YENYE MAOMBI.
Ni hakika na kweli,hapa ni maisha na mafanikio.Hongera sana mau.
ReplyDeleteLinavutia hadi raha, Hongera jamani
ReplyDeleteAhsante kaka Ray... hahaaaa eti mau!
ReplyDeleteDada P. Ahsante sana ni kweli linavutia na matunda twala sasa..