Friday, February 19, 2016

WANA HATIA GANI? IKUMBUKWE SISI WOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA


ALBINA HAWANA HATIA NA SI TOFAUTI NA MIMI NA WEWE NAO WANASTAHILI FURAHA KAMA WEWE, YULE NA MIMI...NAWATAKIENI MWANZO WA MWISHO  WA JUMA UWE MWEMA MWEMA!! IJUMAA NJEMA

No comments:

Post a Comment