Thursday, December 10, 2015

IWE PICHA YA WIKI HIII....

Sasa hapo sijui atakulaje  huo ugali? Niwatakieni kila la kheri ..pamoja daima... Kapulya

3 comments:

  1. Huo ugali mbona ni cha mtoto,
    akimaliza kupuliza hilo bangi alilo nalo mdomoni huo ugali unaondoka wote

    ReplyDelete
  2. jamaa kauvulia shati ugali. Ni sheedah

    ReplyDelete