Monday, December 14, 2015

JUMATATU:- KITABU KIPYA CHA AFRICA REUNITE or PERISH KIMETOKA!


Kwa kuona sifa zake nyingine, tafadhali bonyeza kiunganishi hichi http://www.amazon.com/Africa-Reunite-Perish-Nkwazi-Mhango/dp/9956763241/ref=sr_1_2?s=books&ie=UTF8&qid=1449599076&sr=1-2&keywords=langaa
NAPENDA KUWATAKIA WOTE MWANZO MWEMA WA JUMA HILI..... Kapulya!!!

4 comments:

  1. Wow! Da Yasinta umekitundika kwenye uga wako! Asante kwa kuniunga mkono siku zote. Ubarikiwe sana dada yangu

    ReplyDelete
  2. Kaka Mhango...tupo pamoja na naamini hata wewe ungefanya hivyo. Ila sijui nitakisoma hicho kitabu:-)

    ReplyDelete
  3. Dada nakushukuru tena hasa ikizingatiwa kuwa vitabu kwa wabongo wengi ni sawa na dawa chungu. Unaweza kukipata kinauzwa online ingawa ni bei kwani dola 45 si haba. Pamodzi always.

    ReplyDelete
  4. Kaka Mhango ulibwaji!...Nimekuelewa ulichoelezea ...Haya Zikomo!

    ReplyDelete