LEO NI TAREHE 9/12 AMBAYO N I MIAKA 54 YA UHURU TANZANIA ...LAKINI MWAKA HUU RAIS KASEMA WANANCHI WOTE KATIKA SIKU HII WACHUKUE MUDA NA KUFANYA USAFI...
Na kama unavyoona katika picha wananchi wapo bega kwa bega katika zoezi hili la usafi katika hii siku. Halafu naona hata Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwete naye hayupo nyuma....
Dada Yasinta, ni kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika au (Tanzania bara).
ReplyDeleteDada Yasinta, ni kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika au (Tanzania bara).
ReplyDeleteKikwete msanii kweli kweli. Mbona hakufanya haya wakati wa utawala wake wa kijambazi na kibangi?
ReplyDelete