Monday, September 14, 2015

VYAKULA VYETU VYA ASILI-----

Ulijua ya kwamba chakula kinachopikwa kwenye chungu ni kitamu sana kuliko kupika kwenye sufuria? Basi ngoja niwatakieni JUMATATU NJEMA NA PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA!

2 comments:

  1. Ama kweli mtu kwao. Dada upo ulaya ila duh unakumbuka sana ulipotoka. Huu moto huu..........siku njema

    ReplyDelete
  2. Usiye na jina ni kweli mtu kwao...na nakuhakikishia siwezi kuacha asili yangu...kwani nitakuwa mtumwa.

    ReplyDelete