Kwa kweli ni kuiombea Tanzania mpaka uchaguzi uishe tumpate rais mwingine tukiwa na amani yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa. Tukumbukeni sana kwenye maombi mliopo nje ya nchi ili amani izidi kutawala.
Usiye na jina ndugu yangu...Kila kitu kitakuwa safi tu kuwa na imani.
Kwa kweli ni kuiombea Tanzania mpaka uchaguzi uishe tumpate rais mwingine tukiwa na amani yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa. Tukumbukeni sana kwenye maombi mliopo nje ya nchi ili amani izidi kutawala.
ReplyDeleteUsiye na jina ndugu yangu...Kila kitu kitakuwa safi tu kuwa na imani.
ReplyDelete