Friday, September 11, 2015

TUMALIZE WIKI KWA USEMI HUU...

Kuna njia moja tu ya kuwa na furaha, nayo ni kuwaacha kuwa na wasiwasi juu ya jambo ambalo halipo juu ya uwezo wetu.
Panapo majaliwa tutaonana tena...wenu Kapulya

3 comments:

  1. Ni kweli kabisa Dada Yasinta. Nimeipenda sana hiyo.

    ReplyDelete
  2. usiye na jana ahsante sana kwa kupita hapa na kuacha lako la moyoni!

    ReplyDelete
  3. Nadhani ulitaka kumaanisha jambo ambalo liko juu ya uwezo wako. Vinginevyo ni nasaha nzuri tu.

    ReplyDelete