Ni kuku mzima ambaye nimempaka viungo na halafu nimemweka juu ya kopo la bia na na halafu nimemchuma. Nyama yako ilikuwa tamu sana. Jaribu na wewe nakwambia utajiuma...unaweza kula na wali, viazi au ugali, mimi nilikuta na kachumbali/saladi. Siku na Jioni njema. Kapulya:-)
haya mapishi yakusoma mahali! yana maajabu yake,ukikosea kusomavizuri umeharibu mapishi yote.
ReplyDeletehaya hongera kwa mlo safi.kaka s
Kaka Sam! Hayawezi kuwa ya maajabu, na hakuna kukosea kama ulivyosema ni lazima kuwa makini. Nakuambia ungeonja ungerudia kupika tena....
ReplyDelete