Kama unaona kijana kijana ni vitunguu saumu ambavyo nilipanda mwaka jana vimekuwa tosha kula..:-)
Ni raha ilioje kuanza tena kulima bustani..maaana mikono ilikuwa inawasha sana ..nimepatika mchicha, chainizi, figiri mboga maboga nk. Ni Kapulya wenu ------
Hongera sana na kilimo kwanza. Tunasubiria wakati wa kuvuna mana jembe! Jioni njema.
ReplyDeleteEEeehh jamani usiye na jina hutaki kusaidia kulima wala kupenda ila kuvuna tu??:-(
ReplyDelete