Tusisahau vyetu vya asili. Tuwasimulie na vizazi vyetu ilikuwaje. Huwa najiuliza je hizi picha zimehifadhiwa sehemu nzuri kama makumbusho vile ili tuweze kuwapeleka watoto/vizazi vyetu kuangalia? au Je tunavyo nyumbani? binafsi nina ngao na mkuki:-) ...Lol
Hizo ngao naona zimebaki kwa baadhi ya makabila kama maasai, tatulu, mang'ati etc.
ReplyDeleteWengi tumeiga maisha ya ulaya.
Kaka Amos kwanza karibu sana katika kibaraza hiki . Ni kweli miaka hii wengi tunaiga sana maisha ya Ulaya na kuna wakati tunaiga hhata yasiyotakiwa kuigwa. Ahsante!
ReplyDelete