Wednesday, May 13, 2015

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO :- PICHA YA WIKI

Mbuzi wameamua kupanda mpaka juu kabisa maana huko ndiko chakula kipo...Sijui ningeweza kufanya hivyo?

3 comments:

  1. Hii kubwa lao na nimeipenda. Hawa wajamaa ni wabunifu na wapambanaji kweli kweli, ila waangalie wasikutane na chui huko pakachimbika bila jembe.

    ReplyDelete
  2. Hawajafikiria kama chui atatokea hapo:-)

    ReplyDelete