Saturday, March 21, 2015

PICHA YA WIKI...NIMEYAPENDA MAZINGIRA YAKE

Mazingira ya picha hii nimeyapenda sana yananikumbusha hapo kele kule kwetu Kingole na Litumbandyosi. NAWATAKIENI JUMAMOSI NJEMA SANA. UJUMBE:- TUPENDANE!!

4 comments:

  1. Mazingira ndi ya bwino sema ule mjengo wa nyasi ukitokea moto usipime. Weekend njema ukifaidi kijoto cha kuondokana na balaa la winter au vipi?

    ReplyDelete
  2. Prof. Mhango..ulichosema ni kweli week end yangu imeishia mzigoni hakuna cha kufaidi kijoto wala nini baridi mtindo mmoja na upepo juu

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta una vituko! Umenipa uprofesa kamili mara hii!

    ReplyDelete
  4. Aahh kaka Mhango...wala sio vituko au nimekosea?

    ReplyDelete