MTEJA; Samaki bei gan?
MUUZAJI; 5000!
MTEJA; Mwisho?
MUUZAJI; Mkiani!
MTEJA; Mbona samaki mwenyewe kalegea hivyo?
MUUZAJI; Muulize labda alikuwa shoga baharini!
MTEJA;M bona una majibu ya shombo lakini?
MUUZAJI; Kwasababu nauza samaki ingekua nauza sukari majibu yangekua matamuu.
NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA!!
Hao jamaa nina usongo nao hasa ikizingatia kuwa sili meat nyekundu. Hata leo nimewaramba si haba japo si aina hiyo.
ReplyDeleteKaka Mhango yaani sio peke yako mie nimewaangalia na kukumbuka nyasa yangu:-)
ReplyDeleteIla hiyo biashara na lugha yake kiboko. Namna hii mtu akiwa maskini au akiambiwa mali anazo lakini anazikali agombe?
ReplyDeleteDah huyu muuzaji kiboka. Bora ununue uondoke zako tu.
ReplyDelete