ASIFIWE WAKATI WA UHAI WAKE
Ni vigumu kuisahau tarehe 23/3/ 2011, siku hii ndiyo tuliyompoteza mpendwa wetu Asifiwe Ngonyani. Na leo imetimia miaka minne tangu ndugu yetu mpendwa Asifiwe atutoke. MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA. AMINA.....TUTAKUKUMBUKA MILELE....
ReplyDeleteR.I.P Asifiwe
Dada M. Ubarikiwe sana kwa kuungana na familia ya Ngonyani kwa siku hii ya leo.
ReplyDeleteMungu ailaze pema peoponi roho ya Asifiwe pia Mungu asifiwe kwa wema wake na faraja zake kwenu. Mlimpenda sana ila aliyemuumba alimpenda zaidi.
ReplyDeleteR.I.P Asifiwe. By Salumu.
ReplyDeleteKaka Mhango na kaka Salumu ahsantena kwa kutufariji wanafamilia. Mwenyezi awazifishie upenfo.
ReplyDeleteBado machungu yanagalipo na pole zangu natoa kwa wanafamilia.
ReplyDeleteKaka Ray! Ni kweli machungu yangalipo yaani ni kana kaondoka lwo vile. Wanafamilia wamezipokwa pole zako...ahsante.
ReplyDeletePoleni sana wapendwa..R.I.P.Asifiwe.
ReplyDeleteKwa niaba ya wanafamilia nasema ahsante kachiki!
ReplyDelete