Monday, December 8, 2014

SOKO KUU LA SONGEA MJINI...NYUMBANI NI NYUMBANI!!

Si muda mrefu nitakuwa napata mahitaji katika soko hili:-) 

4 comments:

  1. dada Yasinta unanitamanisha jamani.natamani niende nikashop na mie shimoni kariakoo.lakini waaapi. utuletee mbegu za majani ya maboga.

    ReplyDelete
  2. Mama Wane wala usikonde we nitumie anwani nikirudi tu nakutumia:-)

    ReplyDelete
  3. shukran ngugu yangu nitakutumia.nitafurahije?

    ReplyDelete