Sunday, December 7, 2014

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA PILI YA MAJILIO IWE YENYE AMANI NA UPENDO



JUMAPILI NJEMA! KAPULYA

2 comments:

  1. Jumapili njema DadaYasinta,hapa Dodoma,Tupo na UKAWA wana nadi sera zao kufuatia kampeni ya uchaguzi wa erikali za Mitaa kwakigezo cha ESCROW Account ya TEGETA . Ni mambo tu Dada yangu wasalimie wote Mr. na watoto.

    ReplyDelete
  2. Ahsante ...ni siku nyingi ...nimefurahi umepita hapa. Pia kupata taarifa hiyo. Salanmu zimefika nao wanasalimia.

    ReplyDelete