Thursday, December 4, 2014

CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KWA WIKI HII :-PICHA YA WIKI!!

Nimeipenda sana hii picha  jinsi mazingira yalivyo na pia hawa wanyama TWIGA nikiwaangalia jinsi wanavyo temba mwana mwendo wa kulinga inapendeza sana. ...nami nasema KARIBU TANZANIA:-)

5 comments:

  1. Karibu Tanzania dada,,,,,Tanzania yetu ina vivutio vingi sanaa....hasa Wanyama kama Twiga

    ReplyDelete
  2. Mama Alvin yaani hamuinazidi kuwa nyingi sana:-) ..ndiyo tuna haki ya kujivunia vivutio tulivyonavyo...

    ReplyDelete
  3. Ya twiga mnyama mrafu mwenye madaha, yote hiyo ni hazina ya TANZANIA

    ReplyDelete
  4. Wanapendeza ingawa watasafirishwa na magabacholi kwenda Qatar na hakuna atayefungwa. Ajabu hata usalama wa taifa hawataweza kuwaona wala kugundua.

    ReplyDelete
  5. emu- three ndugu yangu hakika kama ingewezekana huyu mnyama ningemfuga ndani ya nyumba jinsi nimpendavyo.

    Kaka Mhango upo sahihi sana katika jambo hili ,,,,

    ReplyDelete