Tuesday, December 9, 2014

LEO WATANZANIA TUNASHEREHEKEA MIAKA 53 YA UHURU!!

AHSANTE MUNGU
BENDERA TAIFA LA TANZANIA

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.

5 comments:

  1. Tupo pamoja japokuwa wengine hawaelewi umuhimu wa uhuru, kuna mmoja alifikia kusema `aheri tungeendelea kutawaliwa' huyu ni mtu na ufahamu wake, hajui kuwa kutawaliwa ni utumwa, uhuru na utu wako unapotea..

    ReplyDelete
  2. Nami hiyo jana nimeongelea kidogo hili suala la Uhuru wetu, kama unavyoweza kusoma hapa.

    ReplyDelete
  3. emu-three nimekupata-
    Prof. Mbele nafurahi kukusoma.

    ReplyDelete
  4. So good, it shows how realy u love ur country,
    God be with you always

    ReplyDelete
  5. Dada P ..Ni kweli naipenda sana nchi yangu. Ubarikiwa pia.

    ReplyDelete