mama weeee...kitu cha ugali wa ulezi..umenikumbusha kijijini dada
Ester! nimefurahi kama nimeweza kukukumbusha ya kijijini...
mie sijawahi kula huo ugali.lakini nitajaribu maana unga wa ulezi ninao.ila nitaweka siagi mwenzangu japo kidogo.Ila hizo mboga nimezitamani yaani hapo mlo wa nguvu haswaaa.
Mama Wane, jaribu ndugu yangu ni mtamu sana usiweke siagi utaharibu
mama weeee...kitu cha ugali wa ulezi..umenikumbusha kijijini dada
ReplyDeleteEster! nimefurahi kama nimeweza kukukumbusha ya kijijini...
ReplyDeletemie sijawahi kula huo ugali.lakini nitajaribu maana unga wa ulezi ninao.ila nitaweka siagi mwenzangu japo kidogo.Ila hizo mboga nimezitamani yaani hapo mlo wa nguvu haswaaa.
ReplyDeleteMama Wane, jaribu ndugu yangu ni mtamu sana usiweke siagi utaharibu
ReplyDelete