Friday, October 31, 2014

IJUMAA NA JIONI NJEMA KWA WOTE...KARIBUNI NDIZI!!

Hakuna ndizi tamu kama hizi kule kwetu tunaziita "kaporota" ni tamu sana nazipenda mno. Je kuna ndizi nawe uzipendazo sana?

6 comments:

  1. Da Yasinta ni kweli ndizi ni tamu. Ila zipo nyingine tamu sana ila hazitajwi. Zinaitwaje? Ni ngumu kutaja.

    ReplyDelete
  2. Ninapenda sana ndizi. Nimefurahi kuziona.

    ReplyDelete
  3. PRO. Mhango kwa nini hazitajwi?
    Kaka Fadhy hunipiri mimi kwa kula ndizi.....karibu sana

    ReplyDelete
  4. Da Yasinta umenichekesha. Ndizi nyingine tuziache hivyo hivyo. Maana walaji wake wengi huzila usiku ili watoto wasiwaombe. Nadhani umenielewa dadangu. Umenikumbusha kisa cha mpiga miti.

    ReplyDelete
  5. Ndizi mchare kwa mapishi na kisukari kwa ulaji.

    ReplyDelete
  6. kaka Mhango nimekuelewa vizuri sana . Mmmmhhh una mambo wewe nawe..:-)
    Kaka Ray ulipotea ni furaha kuwa upo nasi tena karibu sana....

    ReplyDelete