Maisha ni kuyakubali na mwisho wa siku utaona mafanikio yake. Ila ukisema unataka mafanikio ya haraka hakika sijui kama yapo. Nimependa kuona watu/huyu mama anavyojituma. Mafanikio ni kujituma. NAWTAKIENI WOTE JUMATANO NJEMA NA KUMBUKENI TUPO PAMOJA.
yaani Zambarau zanikumbusha Taboraaaaaa.....na kipindi nipo shule ya msingi nimezila sanaaa
ReplyDeleteHongera mama mjasiliamali kwa juhudi hizo
Mie sikumbuki kama nimezile kwa kweli...nimetamani kweli
ReplyDeletePia mimi nimekula zambarau sana tu ni tamu.ila sijuwi unaweza kuzifanyia nini zaidi ya kula kama tunda. Nikiwa namaana kama mfano zabibu unaweza kutengeneza mvinyo/kinywaji.Je kwa zambarau wanao juwa waweza tengeneza nini cha ziada kutokana na tunda hili/hili. kaka s
ReplyDeleteMmmmhh! Kwa pamoja twaweza kufanya utafiti...
ReplyDeleteMmmmh! nimekumbuka mbali sana.yaani nilizila sana wakati nipo mdogo.hivi kwa lugha ya kizungu zinaitwaje? na Dar pale kisutu zinapatikana?
ReplyDelete