Wednesday, August 13, 2014

SWALI /TAFAKARI LANGU/YANGU LA/YA LEO ....NAOMBA TUTAFAKATI PAMOJA

Swali langu la leo:- Hivi tusemapo  NI MTU NA MJOMBA WAKE au Ni MTU NA SHANGAZI YAKE.
 JE? kati ya hao  MTU NI NANI NA MJOMBA/SHANGAZI  NI YUPI?
HAYA KILA LA KHERI  TUPO PAMOJA.....Kapulya wenu.

2 comments:

  1. Lugha wakati mwingine ni kuelewa tu, maana kama ni mwanaume labda ungelitaja jina lake mfano `Ni Maisha na mjomba wake, kitu kama hicho,lkn kwa uharaka ndio unasema mtu na mjomba wake kama sifa fulani hivi...mmh, lugha sio mchezo ni fani ya aina yake. Tupo pamoja

    ReplyDelete
  2. Ama kweli lugha ni ngumu na ni fani....pia unaweza kucheza na lugha

    ReplyDelete