NI CHAGUA LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE PICHA YA WIKI ..UREMBO!!!
Kama watu wasemavyo ukitaka kupendeza basi inabidi uvumilie....na urembo hauna utoto wala uzee. Nimependa hii picha maana ipo kiasili kabisa. Ila sijui anavua anapolala?
Kaka yangu Mhango ! Ni kweli katokezea...kuhusu Tallinn salama aloilikywa safi sana...ila hiyo lugha yangu duh iilinishinda labda nikadumu wiki ila siku mbili tu mmmhhh ....ila mwenzangu naona unakimung'unya
Huyu kimwana ametokezea ile mbaya. Da Yacinta habari za Tallinn? Tere!Kuidas Sinul läheb? Aga sinul? Nadhani utakuwa umeokota maneno mawili matatu.
ReplyDeleteKaka yangu Mhango ! Ni kweli katokezea...kuhusu Tallinn salama aloilikywa safi sana...ila hiyo lugha yangu duh iilinishinda labda nikadumu wiki ila siku mbili tu mmmhhh ....ila mwenzangu naona unakimung'unya
ReplyDeleteMmmhh urembo nao ukizidi...Kila kitu kwa kiasi..napita tuu waungwana.
ReplyDeleteNdo hapo Kachiki kaaazi kwelikweli!!
ReplyDelete