UJUMBE WA IJUMAA YA LEO KUTOKA KWA KIBARAZA CHA MAISHA NA MAFANIKIO NI KAMA UFUATAVYO!!!!
Bila ubishi wala maswali mengi katika maisha ya Taifa letu tunategemea sana uwepo wa wanawake.
NAWATAKIENI WOTE MWANZA MWEMA WA JUMA HILI MAANA LEO NI IJUMAA WENGI WANAANZA MAPUMZIKO BAADA YA KAZI YA JUMA NZIMA.
Ndugu yangu Mwangoka Nimefurahi kama hapo ni kijijini kwako nimejikuta kama nipo hapo kijijini ,,Ama kweli wanawake tuna kazi ngumu kuhakikisha familia inapata kitu mdomono.
Jamani kijijini kwetu kabisa. Poleni sana kinamama kwa kazi ngumu za kuhakikisha familia inapata mahitaji muhimu@nicky mwangoka
ReplyDeleteNdugu yangu Mwangoka Nimefurahi kama hapo ni kijijini kwako nimejikuta kama nipo hapo kijijini ,,Ama kweli wanawake tuna kazi ngumu kuhakikisha familia inapata kitu mdomono.
ReplyDelete