Mungu wetu tunakushukuru kwamba unatupenda. Yesu Kristo ingia ndani ya mioyo yetu na uchukue dhambi zetu, huzuni, maumivu na hali yetu ya kutamamauka. Tupe tumaini, twaomba tupe maisha mapya. Ahsante sana Bwana tumeamini mioyoni kila mmoja anayekuja kwako ataokoka na kuanza maisha yake upya. Twasema AHSANTE kutukubali leo . Tupe moyo mpya na maisha mapya Bwana katika jina la Yesu Kristo.
AMINA.
Amina! Natumaini we na familia m'wazima Da'. Salamu kutoka kwetu Forsheda. Kram.
ReplyDeleteDada yangu Selina ni siku nyingi umekuwa kimya natumaini u mzima na familia Salamu zimepokelewa kwa mikono miwili siku moja utashtukia tupo mlangoni:-)
ReplyDeleteAmeen!
ReplyDeleteKaka Salehe! Mwenyezi Mungu na ashukuriwe Daima.
ReplyDeleteKaribu!- serina
ReplyDeleteJAMANI MPO TANZANIA KWELI ME NI MLOKOLE MPYA NAOMBA CHAKULA KIPYA CHA KIROHO KINACHOWEZA KUNIJENGA
ReplyDelete