Nimependa sana picha hii...ni kama ule wimbo wa Lady jaydee ..natamani kuwa malaika ..natamani tena kuwa mtoto..Miaka hii unaweza kuwapiga watoto wako picha na kuwa kumbukumbu kubwa sana ...Natamani huyu mtoto angekuwa mimi kwani sina picha ya umri huu...Picha hii ni kwa hisani ya dada Nancy Sumari nimeipata
HAPA. MUWE NA SIKU NJEMA
Dah sio siri kapendeza Sana...
ReplyDeleteMtoto mzuri sana. Bahati mbaya sana dada Yasinta utoto haujirudii!
ReplyDeleteDada Nancy! si uonga binti ametokezea:-)
ReplyDeleteUsiye na jina! Ni kweli Sitarudia tena utotoni ndo kwanza naelekea uzeeni..Ila unaweza kuwa na ndoto kama ningekuwa mimi....:-)