Thursday, December 5, 2013

MATUNDA NI MUHIMU KATIKA AFYA ZETU TUZINGATIE...

Huu ni mlo wangu wa leo mchana mchanganyiko wa matunda mbalimbali. Kama ilivyo ni kwamba matunda ni muhimu katika afya zetu. Usisahau kula hata tunda moja tu  kwa siku....Kila la kheri kwa wote....

5 comments:

  1. Matunda ni afya dada,,,,tena yanavutia hasa

    ReplyDelete
  2. Yaani si uongo yanavutia na yalikuwa matamu mno...Si unajua mama A...Uwe na siku njema.

    ReplyDelete
  3. Kuleni kuku,mayai,nyama,samaki,matunda,mbogamboga na maziwa!!!

    ReplyDelete
  4. nice blog and article, thanks for sharing

    ReplyDelete