Friday, December 6, 2013

AFRIKA TUMEPATWA NA MSIBA BABU YETU NELSON ROLIHLAHLA MANDELA HATUNAYE TENA.

Nelson Mandela wakati wa uhai wake
 
1918-2013....ni pengo kubwa umeacha. Utakumbukwa daima. Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema. Amina.


TUTAKUKUMBUKA DAIMA MKOMBOZI WETU. AMINA

10 comments:

  1. Sasa kazi imebaki kwetu sisi kufuata nyayo...

    Pumzika kwa amani mzee Madiba.

    ReplyDelete
  2. Ailaze roho yako pema, Amin. By Salumu

    ReplyDelete
  3. Kwakweli tumepata pigo. RIP babu yetu

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli ni pigo kubwa kwetu, tumuombee mwema hko aendako. Amina

    ReplyDelete
  5. Hakika mliotangulia mlichosema ni kweli kabisa...Nami ngoja nisema tena yale yaliyo moyoni mwangu. Babu Mandela umefanya kazi kubwa sana na nzuri sijui kama kuna mtu kama wewe tena. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Najiuliza je kuna mmoja wetu anaweza kufuata nyayo zake?..Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Daima tutakukumbuka.

    ReplyDelete
  6. Mungu ameamua kumpumzisha. Dada Yasin´ta mie kwa mawazo yangu sioni kama kutatokea kama Nelson Mandela kwa nchi za Africa, (Na bia kumsahau Nyerere) nasema hivyo kwa sababu viongozi na wapigania haki wa kizazi hiki wapo after mali, utajri, kujilimbikizia, mtu anahangaikia hayo na sio utu na ubinadamu kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Mandela. Maneno ni rahisi sana kuandikwa ila MATENDO MEMA NA KUJITOA KWA AJILI YA WENGINE, wengi hawawezi wanashindwa katika 100 ni 1 au 2. Ni ngumu sana. Binadamu wamekuwa zaidi ya wanyama kwa sasa kama tunavyoona yanayoendela Tz kwa sasa, watu kuuana kwa silaha hata bila sababu, ukabila, udini na vitu vingi visivyofurahisha jamii! nani akaikomboe Africa? Labda bado hajazaliwa, tusubirie atakuja kuzaliwa wa mfani wa Mandela miaka ijayo. Mungu ibariki Africa na watu wake.

    ReplyDelete
  7. Pumzika kwa Amani TATA MADIBA.Daima tutakukumbuka.

    ReplyDelete