Hapa ni sokoni petu ukitaka dagaa, viazi vitamu, samaki nk.utapata bila matatizo:-)
Na hapa usipotaka dagaa au samaki basi waweza kujipatia kiti moto ...
Na hapa ndo unga tayari umeshasagwa kwa hiyo hakuna shida. Isipokuwa ni kuandaa chakula tu sasa....Nimeutamani huu unga basi tu...NAWATAKIENI JUMANNE NJEMA..
Mambo mazuri! ila kitimoto hapana. dini yetu hairuhusu. By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu! Ahsante kwa kupita hapa ...Nakuelewa na nina heshimu hilo!!
ReplyDeleteDada Nangonyani, hiyo kiti moto na dagaa nyasa umenikumbusha mbali mno nilipokuwa hapo Ruhuwiko nikilima nyanya na chainisi kwa mjombangu mwaka 1997,sasa nipo Dar lakini ‘Ilove Songea very much'.
ReplyDeleteKweli nyumbani ni nyumbani.
ReplyDeleteNumbani ni nyumbani japo mlo wa kuhemea kwa jirani!!
ReplyDelete