Friday, December 13, 2013

HAPO SASA UNAUZA VIATU MWENYEWE UNAPIGA ZA KUKU......KAAZIII KWELIKWELI!!!

Hapa nimekumbuka mzee mmoja alikuwa akivua samaki halafu anaziuza zote na yeye mwenyewe na familia wanakula mboga maji au maharagwe. Au kuna wengine walikuwa wakilima mpunga basi wanauza wote na wenyewe wanakula ugali kila siku kwa raha zao zoteee! Haya ngoja niwatakieni Alhamis njema

4 comments:

  1. Hahaha, ni kweli, sisi tuna utajiri lkn ni masikini, tunaugawa kwa watu, huenda hiyo ndio asili yetu.

    ReplyDelete
  2. emu-three!! umenifurahisha kwa kweli kuwa tunagawa kwa watu ..inawezekana ni asili yetu..

    ReplyDelete
  3. Anaona atapoteza faida,umaskini kitu kibaya sana

    ReplyDelete
  4. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete