Hapa mdada anaonekana kuwa mbali kweli kimawazo.....
....hapa anawaza sijui nibadili kazi na kuwa mwana mtindo....anaendelea kufikiriNa mwisho inaonekana hajapata jibu bado kwa hiyo anaendelea kufikiri. Je wasomaji mnaonanaje kuhusu hili na kuhusu vazi la leo?....NAWATAKIENI WOTE KAMA ILIVYO HAPO ULIPO IKIWA ASUBUHI, MCHANA, ALASIRI, JIONI AU USIKU..BINAFSI NI JIONI HAPA NA NAANZA KUJIANDAA KUPIKA MLO WA JIONI.
Hahahhaha bora ubadili kazi dada wa mimi..KADALA.Uungane na Mwanamke wa Shoka da'Mija..mimi nitakuwa mpiga picha wenu.Kampuni itaitwa MIRAYA aU YAMIRA..CHAGUENI HAPO!!!!!!!
ReplyDeleteTukija kwenye mavazi umependeza sana..wewe hata ukivaa Gunia Mwake tuu..Mtoto umefinyangwa..MUNGU alikuingiza Vyuma vyote vya uumbaji na kazi aliifanya sana tuu.
Haya ukishapika mimi nitakuja kukutembelea..dada.
Hahaaaaa! nimecheka kweli mpaka...machozi yaani Kachiki una vituko wewe mimi nachagua MIRAYA...JINA NZURU ALO. Hii ya kuvaa gunia ngoja nitajaribu siku yake,...na hapa kwenye kufinyangwa nimebaki hoi ila nasema AHSANTE KACHIKI WANGU...KARIBU SANA
ReplyDeleteUmependeza sana sana sana dada Yasinta. Natamani upige bila koti then uiweke nayo!
ReplyDeleteMIE SINA CHA KUSEMA
ReplyDeleteUbunifu wako umekubalika!!
ReplyDeleteusiye na jina!! Ahsante sana ..Hahaaaaa umenichekesha mno eti bila koti..haya ombi lako lipo jikoni:-)
ReplyDeleteUsiye na jina wa 3:30PM ! Ahsante kwani hilo pia ni neno.
Ray ! Ahsante kwa kuukubali ubunifu wangu:-)
Rafiki yangu umenoga kweli kweli!
ReplyDelete