Sunday, December 1, 2013

JUMAPILI HII YA KWANZA YA MAJILIO MWAKA A NA IWE NJEMA KWA WOTE

Napenda kuwatakieni wote Jumapili hii ya kwanza ya mwezi huu wa kumi na mbili. Na pia ni Jumapili ya kwanza ya majilio. JUMAPILI NJEMA KWA WOTE.

2 comments:

  1. Asante sana KADALA wa mimi,Iwe njema kwako na familia pia.

    ReplyDelete
  2. KACHIKI ,,,naamini jumapili yako ilikuwa ya upendo na baraka nyingi ndani ya nyumba yako..Ahsante:-)

    ReplyDelete