Wednesday, November 6, 2013

HUU NI UJUMBE WA JUMATANO YA LEO...tABASAMU/KICHEKO

 
Utamu wa maisha hutegemea hali ya nchi. Lakini Uzuri na kichekesho sio bima ya kufaulu katika maisha. Huu ni ujumbe wangu wa leo jumatano hii..Kila la kheri kwa wote mtakaopita hapa.

4 comments:

  1. tabasamu na kichekoooooooooooo!!

    ReplyDelete
  2. Na pia wanachema ukicheka unaongeza afya...Kaka Ray ahsante kwa kutochoka kupita hapa kibarzani..

    ReplyDelete
  3. Jackson! Karibu. Kicheko chako ushaongeza afya yako:-)

    ReplyDelete