Nimependa sana vazi hili
Kwa hiyo katika pita pita kwenye maduka nikaona hii blauzi(tunika) nikanunua ila nimeipenda zaidi ya huyu dada hapo juu. Mimi nimenunu indiska, mpiga picha kaka Erik:-).NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA WIKI HII....IJUMAA IWE NJEMA KWA WOTE.
"tunika" ndiyo jina la huo mtindo au ni kitu gani?
ReplyDeleteKaka Mhagama tunika ni aina ya blauzi ambayo ni ndefu nusu ya gauni..Kama lile vazi alilovaa Yesu na wanafunzi wake...Nadhani nimeeleweka...
ReplyDeleteUmependeza sana dada wa mimi..nami nameipenda sana..Baba na Mama P wanazo,Mama Erik unayo,Baba Max anayo..mama Sandra ngoja nikatafute..sijui mama Manjula kama anayo!!!!!!!
ReplyDeleteKachiki ni furaha ilipo kuona upo nasi tena...Loo wote hao, nami nipo katika orodha..;.)
ReplyDeleteNamimi pia ninalo shati la kitambaa kama hicho,ila rangi yake ni kijani,watoto wangu wao kitambaa chake ni cha rangi bluu.umenogeka na vazi lako.kaka s
ReplyDeleteUmependeza sana Yasinta. Ila sasa mbona unatuangusha jamani, ulipoenda TZ ungepata nzuri zaidi ya Indiska, au sio? Kama ya huyo dada hapo juu! Siku ingine ukienda TZ inabidi uwasake mafundi ambao watakupa mitindo iliyopo kwenye chati wakati huo! Nakutakia siku njema.
ReplyDeleteKaka Sam! Safi sana nitaomba picha yako na watoto mkiwa mmetinga hilo vazi:-) Ahsante...
ReplyDeleteUsiye na jina ! Ahsante sana ...Kuangusha mmmmhhh nilipokuwa Tz nyumbani sikuwaza kabisa hiki kitenge kama ulivyonishauri nitashona we acha tu . Nawe uwe na siku njema.
xafi
ReplyDeleteBinadamu mmoja na vipaji lukuki.Hongera sana!!
ReplyDeleteEric,,,Karibu katika kibaraza hiki,,,,,na ahsante.
ReplyDeleteKaka Ray! Nimeipokea Hongera yako kwa mikono miwili.