Hapa ni baadhi ya bangili za mdada huyu alizokusanya/nunua napenda sana bangili na bado naendelea kukusanya....
Hapo ni baadhi ya mikufu niliyonayo zawadi na nyingine ni kazi ya mikono ya wanangu
Na hapa ni baadhi ya heleni ambazi ni kazi ya mikono ya watu ambao wamebarikiwa kuwa na kipaji kama hiki.....TUDUMISHE UTAMADUNI WETU....JUMATATU NJEMA KWA WOTE
Utamaduni wetu ndiyo utambulisho wetu!!
ReplyDeleteUtamaduni...Hakuna kitu kizuri kama utamaduni....Maana ndio jadi yetu kwa ujumla.Ahsante kaka Ray..
ReplyDelete