Chapati zinasukumwa huku chai ikiandaliwa
chapati zinakaangwa
chapati tayari kwa kuliwa
Na hivi ndivyo meza ilivyoandaliwa Jumapili hii ya leo. Chapati bado zipo na chai pia karibuni kujumuika nasi. NAWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI YENYE BARAKA NA UPENDO. MWENYEZI MUNGU NA AWE NANYI. AMINA......KAPULYA/KADALA.
Hongera kwa mapishi mazuri ya chapatti. Sijui nitaziwahi? Jumapili njema.
ReplyDeleteMmmm hongera ndugu wangu, tupo pamoja
ReplyDeleteUsiye na jina...ahsante. wala usiwe na shaka utazikuta ni nyingi
ReplyDeleteEmu-three ...ahsante . Pamoja daima.
ReplyDeleteAsante kwa yote..Nanyi muwe na wakati mwema..
ReplyDeletechapati zangu mniwekee pembeni.
Kachiki wa mimi...karibu, naamini nawe umekuwa na wakati mwema pia. Usikonde zimetengwa kwa ajili yako.
ReplyDelete