HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA HAPO KALE UJAMAA, UMOJA, USHIRIKIANO NA UNDUGU !!!
Lakini leo /sasa kila mtu na chake. Hakuna tena ule umoja wa kunywa pamoja, kula pamoja na kusali pamoja. Je? kwa nini umoja wetu umepotea?----Nawatakieni wote Ijumaa njema ila usiwe ugimbi/ ulanzi/ pombe...mwingi/nyingi ,,Lol
Ni kwa sababu ya kutokuamiana maana unaweza kuwekwa sumu na kundi fulani lakini pia Magonjwa nayo kama mafua yanaweza kuambukizwa kupitia kushare vinywaji.
Usiye na jina! Na je kwa nini zamani hakukuwa na hayo uliyosema. Maana tulikuwa tukila sinia moja, kunywa kikombe kimoja na kila kitu kilikuwa safi tu...ilitokana na nini?
Umoja wetu umepotea kutokana na kuwa Ujamaa ulioasisiwa na mwalimu ulikuwa unakwenda kinyume na matarajio ya mwanaadamu na kwa maana hiyo kazi iliyokuwa inafanywa na mwalimu ikakosa washirika wa ukweli. Kinachotokea sasa hivi ni uthibitisho wa uasilia ya binaadamu ya kuwa na choyo ya kutoka kupata yeye tu na si vinginevyo. Iko haja ya kufanya juhudi za ziada kuwarudisha watanzania katika hali hiyo ilivyokuwa hata kabla ya ujamaa wa mwalimu na kuangalia ni jinsi gani tunaweza kurudisha utu na thamani yetu kwa kuacha kuthamini sana katika umimi na kurejea katika ubinaadamu pamoja na kuwa ni kazi ngumu kweli kwa hali ilivyo sasa. Kila la kheri
Ni kwa sababu ya kutokuamiana maana unaweza kuwekwa sumu na kundi fulani lakini pia Magonjwa nayo kama mafua yanaweza kuambukizwa kupitia kushare vinywaji.
ReplyDeleteUsiye na jina! Na je kwa nini zamani hakukuwa na hayo uliyosema. Maana tulikuwa tukila sinia moja, kunywa kikombe kimoja na kila kitu kilikuwa safi tu...ilitokana na nini?
ReplyDeleteUbinadamu wa leo upo machoni tuu...Imani imepungua.
ReplyDeleteKACHIKI ! Umenena ndugu yangu!
ReplyDeleteUmoja wetu umepotea kutokana na kuwa Ujamaa ulioasisiwa na mwalimu ulikuwa unakwenda kinyume na matarajio ya mwanaadamu na kwa maana hiyo kazi iliyokuwa inafanywa na mwalimu ikakosa washirika wa ukweli. Kinachotokea sasa hivi ni uthibitisho wa uasilia ya binaadamu ya kuwa na choyo ya kutoka kupata yeye tu na si vinginevyo.
ReplyDeleteIko haja ya kufanya juhudi za ziada kuwarudisha watanzania katika hali hiyo ilivyokuwa hata kabla ya ujamaa wa mwalimu na kuangalia ni jinsi gani tunaweza kurudisha utu na thamani yetu kwa kuacha kuthamini sana katika umimi na kurejea katika ubinaadamu pamoja na kuwa ni kazi ngumu kweli kwa hali ilivyo sasa.
Kila la kheri
kyrie shoes
ReplyDeletegolden goose outlet
golden goose outlet
bape clothing
off white outlet
supreme outlet
hermes birkin bag
supreme shirt
off white outlet
off white jordan