Monday, October 28, 2013

TUANZA JUMATATU HII NA ENZI HIZOOO JE MNAKUMBUKA???

Binafsi nimekumbuka sana maana ndo nilikuwa kadala/kachiki tu ...Muwe na jumatatu njema wote!!

3 comments:

  1. Zama za "Pekos" hizo! By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray na Salumu..hakika ya kale ni dhahabu...na sasa nadhani yansibuka tena...viatu "laizoni" na hizo nywele nimependa zaidi

    ReplyDelete