Nimetumiwa picha hii na mdogo wangu Sarah Mgaya sasa hivi ni mihogo na samaki ni chakula ambacho nimekula sana nawaza kusema ndicho kilichonikuza. Kama si hivyo basi ugali wa muhogo na samaki...nimetamani mno...ahsante
hahaaa mtajibebaaaa poleni sana jamani...ilikuwa mitamu mpaka sasa nasikilizia utamu samaki anitwa sato wa ziwa tanganyika......nilipika chukuchuku haswaa maana ni hoho,carot,kitunguu,chumvi na mhogo aisee sitasahau kipolo nimenywea chai
Sasa tutakipataje hicho chakula hapa Sweden? jamani Unatutamanisha sana Dada Yásinta. Ngoja tule kwa picha.
ReplyDeleteNdo hapo sasa usiye na jina hapa nipo hoi...basi tule kwa macho kama ulivyosema...
ReplyDeletehahaaa mtajibebaaaa poleni sana jamani...ilikuwa mitamu mpaka sasa nasikilizia utamu samaki anitwa sato wa ziwa tanganyika......nilipika chukuchuku haswaa maana ni hoho,carot,kitunguu,chumvi na mhogo aisee sitasahau kipolo nimenywea chai
ReplyDeleteDa mate yamejaa kwny kikombe!
ReplyDeleteHivi huko Sweden hakuna mihogo frozen? By Salumu.
ReplyDeleteSarah najua ww mchokozi, maana ulijua napenda chakula hiki...lol..ahsante.
ReplyDeleteNancy!..mie yamejaa kwenye sufuria:-D
Kaka Salumu...mihogo pia viazi vitamu......ila sato hakuna.
Kwa macho twala na kwa midomo twachekaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
ReplyDeleteSawa !
ReplyDeleteShule njema
Hi Yasinta,
ReplyDeleteUmenitamanishaje leo shost!!!, lazima nikipike j1/j2 nikiwa na muda wa kutosha