Napenda kuwatakieni wote mwisho wa mwezi huu wa kumi. Naamini umekuwa mwezi mzuri kwa wengi na kwa wale walikuwa na majukumu kupita kiasi basi nawaombeeni mwezi uanzao kesho uwe mzuri. NAWATAKIENI WOTE MWENZI MPYA WA KUMI NA MOJA UWE MZURI NA WENYE AMANI NA FURAHA. MWAPENDWA WOTE....KAPULYA
Ha ha ha!!
ReplyDeleteMichezo kwa afya na ujirani mwema.
Aisee watu wabunifu!!!!!!!!!
ReplyDeleteKaka Ray!..Yaani umenena haswaaa
ReplyDeleteDada P! yaani haswaa ubunifu wa namna yake.
Habari
ReplyDeleteAsante nawe pia
Kila la kheri
Tafiti zinaonyesha kuwa watu waishio katika maisha yanayoonekana kuwa duni, ndio wenye furaha zaidi. Mfano ni hawa. Swali: kwa nini?
ReplyDeleteKaka Salehe! Ahsante!
ReplyDeleteEeeehhh kaka Bwaya ni furaha ilioje kuona umerudi na upo nasi. Ulichosema ni kweli..na nimependa swali lako, Kwa vile watu wengi wameridhika na waishivyo .....