Napenda kuwatakieni wote jumapili njema sana na Furaha na upendo zitawale ndani ya mioyo na nyumba zenu. Ujumbe wa leo:NINAMPENDA MUNGU NA NDIO MAANA MOYO WANGU UNAMTUKUZA NA KUMSHANGILA UKISEMA: Ee Bwana na Mungu wangu, Uliye mwanzo na mwisho wangu, Kuanzia sasa najiweka mikononi mwako, unitumie kulingana na mapenzi yako. Kisha unifundishe njia ya kuipanda ngazi ya kufikia. AMINA....KAPULYA
Ameeen!!!!!Asante sana KADALA..Nawe iwe njema kwako na familia pia..Ujumbe mzuri mno.
ReplyDeleteWAKO;KACHIKI.
Kachiki ....ahsante twamshukuru mungu imekuwa jumapili njems.
ReplyDeleteJumapili njema Dada Yasinta. Mungu akubariki sana.
ReplyDeleteamani upendo na furaha kwa wote!
ReplyDeleteUsiye na jina wa 3:08..ahsante ....
ReplyDeleteKaka Ray! Nimependa ujumbe wako.