IJUMAA YA LEO NIMEFIKA HADI IRINGA NA NIMEONA NIWAONYESHE KILE NILICHOKIONA NA KUKIFURAHIA:- NGOMA YA ASILI YA WAHEHE/WABENA KARIBUNI!!!
NAPENDA KUWATAKIEWNI WOTE IJUMAA NJEMA NA KUMBUKENI TUPO PAMOJA. Kachiki upu nawe mtani wangu Fadhy na wengine wote jiungeni nasi najua kaka S na dada mkuu msaidizi mnakumbuka kitu hapa...
Si kwamba mbaguzi wa burudani la hasha la sivyo nisingeweka hapa..Nimewataja hao kwa vile najua ndiyo wataKAOTUONGOZA KATIKA UCHEZAJI kwa vile naamini wamecheza tanga utoto wao....ni hii tu. Kuhusu kuja Kilimanjaro usiwe na shaka binafsi napenda sana ngoma za asili kwa hiyo nitajitokeza siku moja kuja kucheza...
Ala kumbe mbaguzi kwenye burudani,si unaona eeenhe!!Umewataja wachache tu!
ReplyDeleteWikiendi hiyo kwako na familia yako.
=====================================
Karibuni kwetu Kilimanjaro mcheze kikwetu kwetu.
====================================
Si kwamba mbaguzi wa burudani la hasha la sivyo nisingeweka hapa..Nimewataja hao kwa vile najua ndiyo wataKAOTUONGOZA KATIKA UCHEZAJI kwa vile naamini wamecheza tanga utoto wao....ni hii tu. Kuhusu kuja Kilimanjaro usiwe na shaka binafsi napenda sana ngoma za asili kwa hiyo nitajitokeza siku moja kuja kucheza...
ReplyDeleteTuhongidze ve munu va venave(Sangonyani-mama Erick).Hapa nilipo nimetikisika sana maana hii ngoma imo damuni tangu utoto
ReplyDeleteHahaaahah.. pole sana kaka wa mimi Ray....
ReplyDeleteKADALA wa mimi Sandeee.. nipo hoii hapa kwa kuchezaa...Ukangalage ulimage..
uwe na Ijumaa njema na familia pia..
Pamoja sana.
Muacha utamaduni wake ni mtumwa
ReplyDelete