Habari zenu ndugu zangu....Nimerudi jana jioni baada ya wiki moja kuwa kwenye kasafari kidogo...Nimerudi kuja kuvuna mboga zangu, kuangalia mazingira nk. Baada ya kutembeatembea katika vibaraza na kuona kama kuna kipya au? Nimekutana na mzee wa UTAMBUZI baada ya kimya kirefu amerudi kwa kasi. Ukipata kaupenyo mtembelee
HAPA ufaidi mambo. KAKA KARIBU SANA TENA KATIKA ULIMWENGU HUU WA KUBLOG. PANAPO MAJARIWA TUTAONANA KESHO DOMINIKA....Ngoja niendelee na usafi wa mazingira na kupalilia mboga zangu.
Mwanamke mazingira, kazi njema Yasinta.
ReplyDeleteUsiye na jina. .. ahsante yaani nimefanya kazi kama farasi.. na sasa nipo hoi. Ila nimefurahi pamependeza. Karibu
ReplyDelete