Friday, July 5, 2013

NIPO NJIANI NARUDI NA MARA NIMEKUMBUKA NA KUTAMANI MIHOGO NA KACHUMBALI UWE MLO WANGU WA MCHANA HUU!!

Mmm mihogo kachumbali mlo mtamu sana mate yanachuruzika...je nawe umetamani? Ijumaa njema ndugu zangu

8 comments:

  1. Dah, dada yasinta umenikumbusha arusha yaani kule ni biashara isiyokuwa na msimu mhogo na kachumbari dah tamu sana. Nakutamaniaje,

    ReplyDelete
  2. Dah, dada yasinta umenikumbusha arusha yaani kule ni biashara isiyokuwa na msimu mhogo na kachumbari dah tamu sana. Nakutamaniaje,

    ReplyDelete
  3. Yasinta sema tukutumie dada mkuu...

    Vipi huko lakini?

    ReplyDelete
  4. Yasinta sema tukutumie dada mkuu...

    Vipi huko lakini?

    ReplyDelete
  5. Mimi nimekula mhogo wa kuchoma!!

    ReplyDelete
  6. Mh tamu jamani mbona hivyo kwa ambao hatuwezi kukipata hichi chakula basi tutaishia kula kwa macho tu.

    ReplyDelete
  7. Ndugu zanguni yaani hakuna chakula kitamu kama chakula ulichokua nacho....dada mkuu msaidizi nitumia nitashukuru.pamoja daima....

    ReplyDelete