Wednesday, July 3, 2013

NAWATAKIENI JIONI NJEMA KWA UJUMBEE UFUATAO!!

Unajua ya kwamba katika maisha kuna changamoto. Kama vile kuweza kugundua wewe ni nani..
Na pia kitu kingine kizuri ni kuwa na furaha na kile ambacho umekipata/ulichonacho
Nawatakieni wote jioni njema sana. Kapulya/Kadala au dada mkuu:-)

6 comments:

  1. Asante dada jioni njema na kwako pia, Ni kweli unachosema watu wengine hawajitambui so unapopata fursa ya kujua we ni nani, ni jambo la kumshukuru mungu mn unaona ukamili.

    ReplyDelete
  2. Asante dada jioni njema na kwako pia, Ni kweli unachosema watu wengine hawajitambui so unapopata fursa ya kujua we ni nani, ni jambo la kumshukuru mungu mn unaona ukamili.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli kabisa dada Yasinta.

    ReplyDelete
  4. Ni kweli ujifahamu wewe mwenyewe na pia uwafahamu na wenzako, ili kuwa na uwiano,kwa minajili hiyo, migongano isiyo ya lazima itaepukikana.kwa kuvumiliana.

    ReplyDelete
  5. Hakika huu ujumbe mzuri na wenye kuitakia mema jamii kwa ujumla.Asante sana dada Yasinta.

    ReplyDelete
  6. Asante KADALA na Ndugu wa mimi Emu-three..message send...

    ReplyDelete