Sunday, July 7, 2013

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE DOMINIKA HII YA 14 YA MWAKA C

Simba huyu anatisha kweli utafanya nini ukikutana naye njiani?. Lakini kuna adui mwingine mbaya na anayetisha zaidi kuliko simba, Ndiyo maaana mtume petro anatuonya akisema " Nuwe macho; kesheni. Maana adui yenu, ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo". NAWATAKIENI WOTE MTAKAIPITA HAPA JUMAPILI NJEMA SANA,.......KAPILYA

5 comments:

  1. Ni kweli Da yasinta ibilisi mmbaya Sana, na pia namshukuru mungu nimehudhuria dominika hii ya mwaka c na naimani tumeombeana. Jumapili njema na kwako pia.

    ReplyDelete
  2. Nancy! Nami nina imani maombi yetu yamepokelewa. Kila la kheri nawe pia. Dominika njema tena
    Dada mkuu msaidizi. Nanyi muwe na jumapili njema pia.

    ReplyDelete
  3. Asante. .Kadala, iwe njema kwenu pia.

    ReplyDelete